Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya simanjiro anawatangazia/na kuwakaribisha wananchi wote kuomba zabuni katika vyanzo mabalimbali vya makusanyo katika wilaya ya simanjiro kama Tangazo linavyoainisha
karibuni nyote.
Yefred Myenzi
MKurugenzi Mtendaji(W)
SIMANJIRO
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-2552225
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa