Hapana mtumishi wa Umma haruhusiwi kupewa Tenda kwa namna Yoyote ile kwa mujibu wa sheria za Manunuzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mkurugenzi wa Halmashauri anateuliwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Unawezaa kupata matangazo mbali mbali ya zabuni kwa kutembelea tovuti ya halmashauri ya wilaya simanjiro www.simanjirodc.go.tz
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-29707889
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa