HALMASHAURI YA WILAYA SIMANJIRO
ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
Mh. Jackson L. Sipitiek
Diwani wa kata ya Langai
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.
Mh. Albert F. Sichela
Diwani kata ya Ngorika
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Simanjiro
Mh.Sendeu k. laizer
Diwani Kata ya Orkesumet
M/Kiti Kamati ya Huduma za Jamii
Mh. Nyika Shaushi
Diwani kata ya Kitwai
Mjumbe Kamati za Huduma za Jamii.
Mh. Simon Kikoda
Diwani Kata ya Loiborsoit
Mjumbe Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
Mh. Haiyo Y. Mamasita
Diwani kata ya Naberera
Mjumbe Kamati za Huduma za Jamii
Mh. Rehema Y. Naman
Diwani Viti Maalum Kata Loiborsiret
Mjumbe Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
Mh. Nashorwa T. Soombe
Diwani Kata ya Naberera
Mjumbe kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.
Mh. Diana J. kuluo
Diwani Viti maalum Kata ya Emboreet
Mjumbe Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
Mh. Christopher T. Olekuya
Diwani kata ya Emboreet
Mjumbe wa Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
Mh.Philemon A. Oyogo
Diwani kata ya Endiamtu
Mjumbe Kamati ya Afya,Elimu na Maji.
Mh.Michael Sibaa
Diwani kata ya Komolo
Mjumbe Kamati za Huduma za Jamii
Mh. Tipai Ngadiko
Diwani kata ya Msitu wa Tembo
Mjumbe wa Kamati ya Elimu Jamii.
Mh. Juliasi L. Mamasita
Diwani kata ya Shambarai.
Mjumbe Kamati ya Elimu Jamii.
Lukas A. Moringe
Diwani wa Kata ya Endonyongijape
Mjumbe wa Kamati ya Uchumi,Mazingira na Ujenzi
Mh. Loishiye Lesakwi
Diwani kata ya Oljoro Namba Tano
Mwenyekiti Kamati ya Uchumi, ujenzi na Mazingira.
Mh. Grace R. Mtataiko
Diwani Viti Maalum kata ya Msitu wa Tembo
Mjumbe kamati ya Huduma za Jamii.
Mh. Thomas O. Yohana
Diwani kata ya Mirerani
Mjumbe wa kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira.
Mh. Jackson Materi
Diwani Kata ya TERRATI
Mjumbe wa Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
Mh. Paulina A. Makeseni
Diwani kata ya Naisinyai
Mjumbe wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-29707889
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa