Secondary Education
Katika Idara ya Elimu Sekondari inashughulikia mambo yafuatayo
Kuratibu elimu ya ngazi ya Sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.
Idara inasimamia masuala mazima ya uendeshaji wa shule kwa kushirikiana na wakuu wa Shule katika kuhakikisha elimu inayotoewa inakuwa bora na ufaulu wa wananfunzi unapanda.
Kusimamai ujenzi wa miundombinu ya shule na kuhakaikisha walimu wakutosha wanakuwepo kila shule.
kuhakikisha ufundisha na Ufundishwaji unafanyika shuleni.
kudhibiti na kushauri njia bora za kuepukana na utoro Shuleni.
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro Bomani street-Orkesumet
Sanduku la Posta: P.o Box 9596,Orkesumet,Simanjiro,Manyara,Tanzania
Simu: Tel:027-29707889
Simu: +255-758350936
Barua pepe: ded@simanjirodc.go.tz
copyright@2016 Halmashauri ya Wilaya Simanjiro.Haki zote zimehifadhiwa